in

Rayvanny: Sifanyi kiki, anayesema napambana naye angalieni subscriber wake na mauzo ya muziki (+ Video)

“Mimi sishindani na mtu . Huyo mtu wanaesema nashindana nae angalia Subscribers wake na wangu, angalia Views zangu na Zake, angalia mauzo yangu na yake ..

Mimi ndio msanii ninaengoza kwa Kusikilizwa Boomplay na Kutazwamwa YouTube kwa Mwaka huu ” – @rayvanny

Bofya hapa chini kutazama.

https://www.instagram.com/tv/CNpi7onB5zw/

Senate condemns attack on Ebonyi community, charges Acting IGP to commence investigation

Rayvanny: Harmonize alikuwa ananirekodi bila mimi kujua kama tunaongelea mapungufu ya Diamond tukiwa wawili (+ Video)