More
  - Advertisement -

  RC Mghwira asimulia alivyodharauliwa

  -

  - Ad Keep reading below -

  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema tangu kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa huo ameshakutana na hali ya kudharauliwa kutokana na yeye kuwa mwanamke ndani ya uongozi.

  Akizungumza katika kipindi cha Supa Breakfast cha East Africa Radio RC Mghirwa amebainisha kilichotokea katika kikao chake cha kwanza akiwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanajaro na adhaa aliyokutana nayo.

  - Ad Keep reading below -

  “Kikao changu cha kwanza  tangu siku tatu nimeingia nikiwa RC Kilimanajario, mjumbe mmoja kiongozi mwanaume akasimama akaniambia, mimi siwezi kukupa wewe mawazo yangu kwa sababu wewe si wachama changu, Nikamwambia huu si mkutano wa chama wala mimi sio Mwenyekiti wa chama na hapa ni serikalini, hii imetokea mara nyingi mwingine siku moja aliniambia utanitambua leo lakini mimi ukinidharau huwa hainusumbui,” alisema RC Mghwira.

  ALSO READ  Serikali kuzilinda Taasisi za kidini

  Akielezea kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu, iliyosema kuwa macho yake yanaona, amesema kwenye uumbaji Mungu alimpa mwanamke fikra au macho ya ndani ambayo yana umuhimu kwenye uongozi.

  ALSO READ  Investigation: Nigerian army and tale of genocide in Osun community
  - Ad Keep reading below -

  “Hayo macho aliyokuwa anayasema sio haya magoroli tulionayao ni yale macho ya ndani, macho ya utambuzi, macho ya nafasi, hayo macho ya nafasi wanayo wanawake zaidi wanaume kidogo, wanawake tuyatumie vizuri yatasaidia jamii,” alisema RC Mghwira.

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Ministry Plans Monthly Cash for Jobless Kenyans in 5 Counties

  The Ministry of Labour has offered hope for Kenyans who were rendered jobless as a result of the government's directive to lock down 5 counties...

  Twitter Unveils Algorithmic Fairness Initiative to Offer More Transparency in Its AI

  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -