AfricaSwahili News

Serikali kupunguza kiwango cha koi kwenye Betting

 Ninapendekeza kufanya mabadiliko ya sheria ya michezo ya Kubahatisha (betting) kwa kupunguza kiwango cha kodi kwenye zawadi ya ushindi kutoka asilimia 20 hadi asilimia 15 ya ubashiri wa matokeo lengo likiwa ni kuleta usawa wa utozaji kodi katika michezo hiyo,” – Waziri Dk Mwigilu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango.

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.