More
  - Advertisement -

  Serikali yapiga marufuku wanafunzi wanaoanza darasa lwa kwanza kudaiwa vyeti vya awali

  -

  - Ad Keep reading below -
   

  Serikali imekiri kutowekeza vya kutosha katika elimu ya awali, na hivyo imepiga marufuku wanafunzi wanaoanza darasa la kwanza kudaiwa vyeti vya ngazi hiyo ya elimu.

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Ummy Mwalimu ametoa agizo hilo leo bungeni leo Mei 3,2021 ambapo amesema Serikali ipo kwenye mchakato wa kuboresha elimu ya awali.

  - Ad Keep reading below -

  Waziri ametoa kauli hiyo kufuatia swali la nyongeza la mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi aliyehoji ni kwa nini wanafunzi wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza hulazimishwa kuwa na vyeti vya kuhitimu elimu ya awali hasa katika Jiji la Dar es Salaam.

  “Mheshimia Spika,naomba nitoe tamko la kisera hapa, ni marufuku wazazi kudaiwa vyeti vya awali kama kigezo cha kuandika watoto wao darasa la kwanza, sababu kubwa ni kwamba hatujawekeza vizuri katika elimu ya awali,” amesema Ummy.

  - Ad Keep reading below -

  Waziri amesema kwa sasa Serikali inajipanga kuwekeza zaidi katika elimu ya awali ambako bado kuna matatizo kidogo.

  ALSO READ  VIDEO: Rc gambo ahamishia ofisi yake sokoni

  Awali Naibu Waziri katika Wizara ya Tamisemi David Silinde alisema madai ya vyeti kwa wanafunzi wanaoandikishwa hudaiwa kwa shule binafsi lakini si utaratibu wa Serikali.

  ALSO READ  MAGAZETI YA LEO 18 /8 /2019

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Shocking Leicester display raises serious questions about ability to handle pressure

  Leicester's top-four hoodoo returned as they collapsed in the 4-2 loss to Newcastle United.

  Postpone LG election to avoid another legal gymnastics – ex-Oyo Gov, Alao-Akala tells Makinde

  A former Governor of Oyo State, Chief Christopher Adebayo Alao-Akala, has advised the incumbent Governor, Engineer Seyi Makinde, to without wasting more time, postpone...

  FBI hails EFCC for efforts on global crime war

  The Federal Bureau of Investigation (FBI) considers the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) a critical partner in the global fight against organized crime...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: