Michezo (Swahili)

Simba kaponzwa na Yanga – Uchambuzi (+AUDIO)

Baada ya Simba kupokea kichapo cha magoli 4 – 0 dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa robo fainali ya CAF Champions League wadau mbalimbali akiwemo Abbas Pira anaamini kama Simba ingefanikiwa kucheza na Yanga SC kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu basi ingewasaidia sana kupata matokeo dhidi ya Waafrika Kusini hao lakini badala yake walikwenda kwa Madiba pasipo kupata mechi hata moja ngumu ambayo ingewasaidia kupunguza madhaifu yao.

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Back to top button