More
  - Advertisement -

  Simba: Mchezo wetu wa kesho na Al Ahly utakuwa ni wa kupambana ili kulinda heshima

  -

  - Ad Keep reading below -

  Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amesema licha ya kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika, lakini mchezo wao wa kesho Aprili 9, 2021 dhidi ya Al Ahly ya Misri utakuwa ni wa kupambana kupata matokeo mazuri ili kulinda heshima.

  Barbara amesema “Cha msingi mechi yetu ya Ijumaa ni mechi ya heshima ni kweli tumeingia robo fainali lakini tunahitaji kutoka na alama hapa Cairo tutalinda heshima yetu na kulinda ukubwa na uzito wa timu yetu na pia inawatengeneza soka la wachezaji wetu”

  - Ad Keep reading below -

  “Cha msingi wachezaji wapambane kama fainali” Akamalizia Barbara.

  Simba ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, itacheza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly Ijumaa ya kesho ikitaraji kuwa saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki kwenye dimba la Al Salaam ni si uwanja wa Cairo International.

  - Ad Keep reading below -

  Akizungumzia mabadiliko hayo ya uwanja, CEO amesmea:

  “Leo tumeongea na mratibu mkuu ametoa sababu kwamba kwenye uwanja wa Cairo, klabu ya Zamalek watakuwa na mchezo Jumamosi uwanja wa Cairo , siku moja kabla ya mechi lazima waufanyie mazoezi maalum.

  “Kwahiyo walikubaliana kwa pamoja nani atacheza wapi na Al Ahly wameamua na watu wa CAF wahamie uwanja wa Al Salaam ili kusiwe na mgongano kwenye kufanya mazoezi”

  Simba ni kinara wa kundi lake, kundi A akiwa na alama 13, Al Ahly ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 8 zote zikiwa zimefuzu ilhali AS Vita ya DR Congo ipo nafasi ya tatu ikiwa na alama 4 na Al-Merrik inashika mkia ikiwa na alama 2 huku zikishindwa kufuzu robo fainali.

  - Ad Keep reading below -

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Global Economy Set for a Post-Pandemic Boom | Best Countries

  After suffering the worst downturn since World War II, the global economy is poised for a synchronized recovery the likes of which has...

  Canada Has Work to Do to Improve Quality of Life | Best Countries

  For the sixth consecutive year, Canada has ranked first in the U.S. News & World Report's Quality of Life ranking. Topping this list...

  Realme 8 6GB + 128GB Storage Variant to Go on Sale in India via Flipkart, Realme.com: Price, Specification

  Realme 8 6GB RAM + 128GB storage variant will go on sale again today, April 13, at 12pm (noon). The Realme 8 series...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -