in

Simba SC wakishindwa kulipa Mil 77, tutakamata mali zao – Afisa Ardhi Happiness Lucas (+Video)

”Hadi jana tarehe 14 mwezi wa nne tulitegemea wangefika Baraza la Ardhi la Kinondoni, lakini hawakuweza kufika. Kwa hiyo kwa mujibu wa kanuni za Baraza namba 23, kifungu kidogo namba tatu (3) za kanuni za Baraza la Ardhi ilibidi watoe Oda ya Mahakama ya kushika mali za Simba SC ambazo zipo katika Plot namba 226 Kitalu moja Bunju. Kwa hiyo wamepewa siku 14 kulipa hilo deni la Milioni 77.” – Afisa Ardhi Kinondoni Happiness Nyamwanga Lucas

No official update as Buhari remains in UK after two weeks

Top KCPE Candidate Speaks