Klabu ya Simba kupitia mitandao yao ya kijamii wametangaza kumrejesha kundini aliyewahi kuwa mchezaji wao Clatous Chama ambaye alisajiliwa na klabu ya RS Berkane kutoka nchini Morocco.

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles