Advertisement Scroll To Keep Reading
AfricaSwahili News

Simba yamtambulisha kocha mpya

Advertisement Scroll To Keep Reading

Uongozi wa Simba umemtambulisha Hitimana Thiery, kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

Advertisement Scroll To Keep Reading

Taarifa ambayo imetolewa leo kupitia ukurasa wa Instagram wa Simba umeeleza kuwa unahitaji kufika mbali katika mashindano ya kimataifa.

Atafanya kazi kwa ushirikiano na Kocha Mkuu wa sasa Didier Gomes ambaye ni raia wa Ufaransa. 

Hitimana ambaye ni raia wa Rwanda aliwahi kuifundisha Namungo FC pamoja na timu ya Mtibwa Sugar.

 

Advertisement Scroll To Keep Reading

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.