AfricaSwahili News

Simba yatoa fursa kwa wabunifu wa mavazi

Ni kupitia ๐™Ž๐™ž๐™ข๐™—๐™– ๐™…๐™š๐™ง๐™จ๐™š๐™ฎ ๐˜พ๐™๐™–๐™ก๐™ก๐™š๐™ฃ๐™œ๐™š ambapo mshindi atakuwa ni mbunifu ambaye atapigiwa kura nyingi na mashabiki 

Unachotakiwa kufanya ni kubuni jezi ya Simba na upost kwenye page yako kwa kutumia hashtag ya #SimbaJerseyChallenge. Tutaipitia na kuiweka kwenye Instagram na Facebook Story yetu alafu mashabiki watapiga kura kuchagua nani mshindi

 

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.