Chombezo : Sitasahau Jinsi Mzungu Alitutumikisha Kingono Mimi Na Mume Wangu 

Sehemu Ya Pili (2)

 Kilichoendelea baina ya mzungu na mume wangu usiku ule sikutaka kujua na wala sikutaka kufahamu ila walirejea wote asubuhi ya saa kumi na mbili mida ya kuwaona wagonjwa wakiwa na uji wa mtoto, Mzungu alijisifia kuwa huo uji ameuandaa yeye hii ilinipa wasiwasi kidogo kuwa hawa watu wawili walilala sehemu moja au asubuhi ndo walipitiana hilo sikulijali lakini mume wangu alikuwa hawezi kunitazama machoni ni kama vile ananionea aibu hii ikanipa wasiwasi ikabidi nimvute chemba kidogo huku nikimuacha Mzungu anamnywesha uji mtoto. “Vipi,Jana umenisaliti wewe?” Nilimuuliza mume wangu ambaye alikuwa hawezi kabisa kuniangalia usoni kutokana na aibu. “Nisamehee mke wangu nisingeweza kukataa, Si unajua kitanda anacholalia Jack ni elfu 30 Kwa siku na bado kuna gharama kibao kama nikimzingua huyu Mzungu tumekwisha”. Roho iliniuma sana ila nikajikuta sina la kufanya zaidi ya kuwa mpole ila machozi yalinitoka kidogo nakujikuta nauchukia umasikini. “Nisamehee mke wangu kama nimekuumiza” Alinifuta machozi nami nikamjibu kumpa moyo. “Usijali mume wangu,Cha msingi ni kuhakikisha Jack anakaa sawa hayo mambo mengine ni ya kupita tu”. Basi tulirejea chumbani ambapo tulimkuta Mzungu kashamaliza kumywesha uji mtoto na sasa anacheza naye. Tulikaa pamoja huku Mzungu akiwa ndo muongeaji mkubwa maana binafsi sijawahi kukutana na Mzungu anaongea kama huyu yahaani utafikiri mzaramu kila jambo anajua yeye. Muda wa kuona wagonjwa uliisha nami nikataka niendelee kukaa lakini Mzungu akatoa wazo “Safari hii muache Frank akusaidie kumuangalia mtoto mpaka saa kumi wewe unapaswa urudi nyumbani ,ukaoge na kubadilisha nguo,pia kupumzika ili ujiandae na kibarua cha usiku tena”. Wazo la Mzungu halikuwa baya ni wazo zuri hivyo lilipita lakini sina uhakika kama ili wazo alilitoa Kwa nia njema au anayake mengine. Basi Safari hii tulitoka Mimi na Mzungu pale hospital na kumuacha mume wangu na mtoto akaenaye hadi saa kumi nije kumpokea. Sikuwa hata na shilingi mia mfukoni ya nauli na nilipojaribu kumuomba nauli mume wangu aliniambia kila kitu hata maliza Mzungu maana hata yeye mwenyewe hakuwa na kitu mfukoni Jana walitoka yeye na Mzungu wakaenda kulala kwenye hoteli aliyofikia Mzungu hivyo hakupata hata muda wakutafuta pesa ambayo ingenisaidia Mimi kurudi nyumbani. Basi Kwa kuwa Mzungu kaamua kutusaidia na mume wangu kanipa ruhusa kuwa kila kitu atamaliza Mzungu basi ilibidi nitoke naye huku nikimtegemea nauli. Tulivyotoka tu hospitali Mzungu aliita taksi tupande mimi nikamwambia Mzungu. “Samahani Ana Maria naomba unisaidie kiasi kidogo cha pesa ili nipande daladala za kwenda kwetu mbagala”. “Hapana,Usiende mbagala muda huu saa kumi sio mbali ,Wewe unahitaji kurudi nyumbani haraka ,uoge na kupumzika kisha upike chakula cha kuleta hospitali ukirudi mbagala utakosa muda wa kufanya yote hayo hivyo twende hotelini kwangu”. Maneno yake yalinipa mshtuko kidogo nilitamani kusema hata hapana lakini nikakumbuka sina hata hiyo nauli ya kwenda mbagala na hata nikienda naenda kufanya nini maana sina hata pesa ya kupika kwaajili ya mgonjwa pesa zote zinapaswa zitoke Kwa Mzungu na Mzungu mwenyewe ndo hivyo anasema niende hotelini kwake. Basi tukapanda kwenye taksi huku moyo ukinidunda maana huyu Mzungu Jana tu kwenye taksi ya mume wangu kanishikashika sasa ananipeleka hotelini kwake tunabaki wawili unafikiri itakuwaje ikabidi nitafute namna ya kumkwepa huyu Mzungu. “Lakini Ana Maria, Tafadhari naomba uniruhusu nirudi kwetu mbagala maana hata nikija kwako nikaoga nitakosa nguo za kuvaa”. “Usijali ,Mimi ninazo nguo nyingi ukioga nitakupa za kubadilishia” Alisema hayo kisha akanichungulia nikiwa siti ya nyuma yeye yuko siti ya mbele na dereva alafu akanipa ishara ya kunibusu na mkono,Dah Kwakweli alinichanganya maana sikujua amekusudia kunifanya nini huko hotelini hali ya kuwa yeye ni mwanamke mwenzangu.

Basi tulipofika hotelini tulishuka kwenye taksi,Mzungu alikuwa na furaha isivyokawaida alichukua mkono wake mmoja na kunishika begani tukawa tunatembea kuelekea hotelini anapoishi. “Jisikie huru” Mzungu aliniambia maana nilijisikia aibu kubwa hasa tulipokuwa tunaingia hotelini watu wote walituangalia sisi huku mimi mikono yangu nikiwa sina namna ya kuiweka maana mzungu amenibana na kifua chake na mkono wake amenivutia Kwa kwake huku tunatembea yahaani ni kama mtu na bwana wake. Basi hao tuliingia chumbani Mzungu akajitupia kitandani. “Jisikie huru,Rosemary kama unahisi uchovu unaweza ukaenda kuoga kisha kupumzika ,bafu ilo hapo” Mzungu alinionyesha bafu kwa ishara ya mkono ,kisha akajifanya kulalamika kama mtu ambaye anauchovu mwingi sana “Ooh my God am so tired”. Mimi baada ya kuonyeshwa bafu lilipo ilibidi niingie ili nikapate maji maana nilijihisi mwili unanata kutokana na uchovu. Basi niliingia bafuni na kuvua nguo zote kisha kufungua bomba la mvua na kuanza kukoga maji nilijisikia raha sana maana maji yalikuwa ni kama ya uvuguvugu hivyo nikajiachia kwa maraha kufurahia maji yanavyotiririka kwenye mwili wangu lakini ghafla nikaona mlango wa bafuni unafunguliwa nilipata mshtuko atakuwa ni nani? Ila swali lilikuwa ni la kitoto sana kwani awe nani zaidi ya mzungu?Ndio ni kweli alikuwa ni mzungu tena akiwa uchi wa mnyama huku akiwa amezishika taulo mbili mkononi. Nilitamani kuacha kuoga na kuvaa haraka haraka lakini sikuona sababu ya kufanya hivyo kwani Mzungu ni mwanamke kama mimi tofauti tu ni rangi zetu.Mzungu alifungua mlango kisha akaniangalia alafu akatabasamu “Rosemary umesahau taulo za kujifutia”. Baada ya hapo Mzungu aliingia bafuni kisha kuweka taulo sehemu ya kichuma cha kuwekea taulo na kuja huku akiwa uchi wa unyama akinifata nilipo ,uso wake ulijawa na tabasamu muda wote hali iliyoanza kunisababisa nianze kumuogopa tena hasa nikikumbuka matukio yake ya kwenye gari,Nikataka kutoka kwenye bomba la mvua ili nikajifute na taulo nitoke lakini mzungu akanidaka mkono. “Ushamaliza kuoga kwani?” Aliniuliza huku akiniangalia kimahaba zaidi yahaani ni kama mtu anayetaka kunirukia. “Ndio”Nilijibu huku natetemeka. “Yahaani sabuni zote kwenye nywele alafu unasema ushamaliza kuoga”. Basi nikaweka mkono kichwani ili kuhakikisha kweli nywele zina sabuni lakini hamna kitu. “Hamna bwana”. Nilimjibu huku akiwa bado kaendelea kunishika mkono kisha akanivuta kuelekea bomba la mvua. “Mimi ndo nakuona kichogoni kuwa unasabuni,Basi acha nikuogeshe kama umeshindwa mwenyewe kuoga”. Mzungu aliniweka katikati ya bomba la mvua kisha kuanza kunipaka sabuni “Kiukweli mi sijazoea kuogeshwa naomba uniruhusu niende sipo comfortable na hili” Nilimwambia kisha kutaka kuondoka lakini alinikumbatia Kwa nguvu alafu akanizuia palepale kwenye bomba la mvua kisha kuanza kujiliza hapo nikamshangaa analia nini ikabidi nimcheki kama yupo sawa “Ana Maria upo sawa kweli”. “Sipo sawa”.Alijibu huku bado akiendelea kulia huku kanikumbatia. “Unaumwa?” Nilimuuliza. “Hapana siumwi ila nimemkumbuka marehemu dada yangu,yeye alikuwa ananikogesha kila siku tafadhari Rosemary naomba uchukue nafasi yake,Naomba unikogeshe”. Hapo nikaona isiwe tabu kama shida tu ni kumkogesha basi acha nimkogeshe.Nikachukua sabuni kisha kuanza kumpaka sabuni kichwani hapo nikaona kaniachia nikampaka maeneo yote ya mwili wake huku ila kila nikimgusa sehemu muhimu lazima atoe milio ya mahaba dah kwakweli ilikuwa ni mtihani sana siku hiyo . Baada ya kumaliza kupaka sabuni na kumsuuza na bomba la mvua akaniambia. “Rosemary tafadhari naomba unisugue na mgongoni” Sikuwa na hiyana maana ni mgongo basi nikamwambia ageuke lakini ajabu alijipindua kabisa kama mkao wa mapenzi eti madai yake nimsugue vizuri ,Mimi Sikuwa na hiyana nilimsugua anavyotaka na mara nyingi sasa ilipaswa niyaguse makalio yake Kwa sehemu yangu ya mbele ili niweze kuufikia mgongo wake vizuri na mara zote alitoa miguno ya mahaba. Zoezi la kumsugua mgongo wa Mzungu liliisha akaniambia. “Samahani kama nakuchosha Ila pia naomba nisugue na matakoni vizuri”. Basi nikawa namsugu huku yeye akijiliza kimahaba na baada ya muda mfupi Mzungu alikuwa yuko safi nishamkogesha vizuri Ila akanikumbatia tena kisha kuniambia kimahaba huku jicho lake likiwa nyanya (Yahaani limezingirwa na machozi”. “Samahani naomba na wewe nikukogeshe ”

 Kabla sijajibu chochote mzungu alishachukua sabuni na kuanza kunipaka kichwani.Nikataka nijikomboe kwenye mikono yake lakini akanitaiti kabisa na mwili wake ili nisichomoke basi nikaona isiwe tabu kama shida ni yeye kuniogesha tu basi acha aniogeshe.Alinipaka sabuni kichwani kisha akashuka kwenye maziwa hapo nikaona ameganda ameganda kwa muda mrefu kidogo anayachezea maziwa yangu huku anapaka sabuni ikabidi nimwambie. “Inatosha jamani”. Mzungu akatoa kilio cha mahaba. “Aahaa ” Alafu akasema Kwa tabu huku ananiangalia usoni kwa jicho la mahaba. “Nimeshindwa kujizuia Rosemary, Nakupenda sana tafadhari naomba uwe mpenzi wangu”. Hapo nikabaki nimemshangaa tu maana sikuwahi kutarajia kwamba eti siku moja naweza kuambiwa na mwanamke mwenzangu maneno kama Yale.Wakati mi namshangaa mzungu hakupoteza nafasi bali alinirukia mdomoni na kuanza kunipa mate sasa hapo ndo nikaona sasa amezidisha ujinga ikabidi nimsukume Kwa nguvu mzungu akaanguka kule nusu aende chini Ila akajitahidi kujizuia kwenye jakuzi asianguke chini.Mimi nikavaa nguo yangu niliyokuja nayo kisha kuanza kutoka bafuni.Mzungu akaniwahi “Sikiliza Rosemary unaenda wapi?” Sikumjibu kitu bali nikawa nautafuta mlango wa kutokea kwenye chumba chake “Rosemary,Naomba unisamehe” Bado siku msikiliza nilikuwa nataka nitoke nje tu sikujali nini wala nini maana niliona huyu mzungu ni mshenzi tu Jana kalala na mume wangu Leo anajifanya anataka kunisaga na mie. Sikumsikiliza nilitoka nje kwa hasira bila kuwaza nini wala nini kama umasikini acha nife na umasikini wangu kuliko kudhalilika namna Ile. Nakumbuka sikuwa na hata mia mfukoni wakati huo lakini nikajifanya masikini jeuri nikatoka mpaka kituo cha mabasi ya mbagala nikaomba msaada kwa kondakta anipakie bure naye akanisaidia nikafika mpaka nyumbani. Nilipofika nyumbani nikakopa baadhi ya mahitaji kwa mangi na kiasi kama cha shilingi elfu 10.Kwa kuwa mangi ananijua mimi sio mbabaishaji akanikopesha huku nikiwaza saa kumi ikifika nikamtoe mume wangu hospitali alafu nimwambie akapambane kutafuta pesa Kwa ajili ya matibabu aachane na habari za mzungu yeye ni mwanaume anapaswa kupambana sio kukaa na kumtegemea Yule Malaya wa kizungu. Saa nane kamili nilitoka mbagala kuelekea muhimbili Ila kutokana nafoleni za hapa na pale nikafika saa kumi na robo hivyo nikama nimechelewa robo saa tu kulingana na ule muda halisi wa kuona wagonjwa hivyo ilibidi niwahi mbio mbio mpaka kwenye chumba alicholazwa Mwanangu.Nikamkuta mume wangu kama amechanganyikiwa vile moja haikai wala mbili haikai yahaani anazungukazunguka kwenye kitanda cha mtoto ambaye muda huo alikuwa kalala. Nilipoingia tu mume wangu akanikumbati Kwa nguvu alafu akaniuliza ” Vipi Mzungu yuko wapi?”Aise aliniudhi sana sema tu nikajikaza. “Sijui ,mi nilipotoka hapa nilienda mbagala moja Kwa moja kwani vipi?”. “Majibu ya vipimo yametoka toka saa Saba na muda wote huo nimekupigia simu ili kukutaarifu majibu ya vipimo ikiwezekana umpitie mzungu uje naye lakini hukupokea,Pia nimejaribu kumpigia simu mzungu pia naye hakupokea hivyo ndo maana nimechanganyikiwa hapa”. Hapo nikajisachi mfukoni kuangalia simu yangu iko wapi ndipo nikakumbuka simu yangu nimeisahau hotelini,basi nikauliza Kwa woga “Majibu yanasemaje kwani?”. “Majibu yanaonyesha Jack ana moyo mkubwa,hivyo inahitajika akafanyiwe operation India au South Africa hapa hawawezi kufanya hiyo operation”. Nusu nianguke kwa presha maana hiyo pesa ya operation na nauli ya kwenda huko India sijui itatoka wapi maana msaada pekee tuliokuwa tunautegemea ni kutoka Kwa mzungu na mzungu mwenyewe ndo hivyo hapatikani kwenye simu na kutokana na nilivyomuhudhi huwenda ataki tena kutusaidia. Basi ikabidi niweke chupa chini nakutoka nje huku nakimbia kumuwahi mzungu hotelini asije akapata wazo la kubadilisha hoteli maana kama hapatikani kwenye simu maana yake hataki kuwasiliana nasi na yeye ndo tunayemtegemea kama ataondoka kabisa pale hotelini basi tutakosa msaada kabisa “Vip unaenda wapi?” Aliniuliza mume wangu wakati natoka lakini sikumjibu kitu bali nikukimbia tu ili kumuwahi mzungu kabla hajabadilisha hoteli Nilichukua bodaboda fasta mpaka hoteli aliyofikia mzungu ,nilishuka mbio mbio hadi chumbani Kwa mzungu kujaribu kufungua chumba kimefungwa,hivyo nikashuka mapokezi harakaharaka huku nikiwa natetemeka. “Hivi yule mzungu kaondoka?”. Nilimuuliza mtu wa mapokezi “Mzungu yupi huyo maana hapa wazungu ni wengi dada”. “Ana Maria”. “Ana Maria,Ana Maria”Alisema huku anapekuwa kwenye komputa. “Huyo ,kasharudisha funguo”. Basi moyo ukapiga paaha nikaanza kujutia kwanini nilimkataa huyu mzungu ona sasa mwanangu atakufa Kwa kukosa msaada nikajikuta nabubujikwa na machozi

ITAENDELEA

Tagged in:

About the Author

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ?Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

View All Articles