More
  - Advertisement -

  Sir Alex Ferguson awatembelea PSG leo

  -

  - Ad Keep reading below -

  Kocha wa zamani wa Man United Sir Alex Ferguson leo ametembelea Lowry Hotel iiliyopo katika jiji la Manchester ilipofikia timu ya PSG ambapo usiku wa leo inacheza na Man City katika marudiano ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

  Ferguson katika hotel hiyo alikaa kwa zaidi ya saa moja na inaripotiwa kuwa alifanya mazungumzo na Rais wa PSG Nasser Al-Khelaifi na Kocha wa PSG Mauricio Pochettino.

  - Ad Keep reading below -

  Kwa kawaida hotel hiyo imekuwa ikitumiwa sana na Man United katika mechi zake za nyumbani kabla ya Ferguson kuondoka na hata baada.

  ALSO READ  VIDEO: Jinsi ma IGP wa shirikisho Afrika walivyo ingia
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Pep Guardiola vs Thomas Tuchel: Complete head-to-head record

  The upcoming Champions League final will see two familiar faces square off in the dugouts when Pep Guardiola's Manchester City face Thomas Tuchel's Chelsea.The...

  SUG reacts to release of abducted ABSU student, lauds Ikpeazu, security agencies

  The Students’ Union Government (SUG), has reacted to the release of the abducted student of Abia State University (ABSU) Uturu, by unknown gunmen, on...

  Businessman Strips 'Mabati' Out of Hospital Over Unpaid Tender

  A disgruntled businessman resorted to removing iron sheets he'd supplied for the construction of a hospital in Uasin Gishu county over nonpayment by the...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: