More
  - Advertisement -

  Spika Ndugai amuonya Nape kuhusu michango yake bungeni

  -

  - Ad Keep reading below -

  Spika wa Bunge,  Job Ndugai amemuonya mbunge wa Mtama (CCM),  Nape Nnauye kuchunga kauli zake anapochangia bingeni kuhusu wanawake.

  Ametoa onyo hilo leo Jumatatu Mei 3,  2021 alipozungumzia  mchango wa mbunge huyo kuhusu wabunge 19 waliofukuzwa uanachama Chadema lakini bado ni wabunge.

  - Ad Keep reading below -

  Hivi karibuni Nape alikosoa wabunge hao kuendelea na nafasi zao licha ya kufukuzwa Chadema,  akitaka katiba ya nchi ifuate kumaliza hatima ya wabunge hao.

  Leo Ndugai amemuombea msamaha Nape kwamba alikosea na watu wanatakiwa kumsamehe.

  - Ad Keep reading below -

  “Hivi karibuni mbunge wa Mtama mdogo wangu Nape Nnauye alitoa mchango wake hapa, Sina haja ya kuzuia uchangiaji wake lakini alikiuka kanuni kwa kuwataja wabunge kwa majina, hapo alikosea sana,” amesema Spika Ndugai.

   

  ALSO READ  Armenia yakataa upatanishi wa Urusi katika mzozo na Azerbaijan

  ALSO READ  Zaidi ya watu 120 wamejeruhiwa wiki nzima ya maandamano DRC
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Shocking Leicester display raises serious questions about ability to handle pressure

  Leicester's top-four hoodoo returned as they collapsed in the 4-2 loss to Newcastle United.

  Postpone LG election to avoid another legal gymnastics – ex-Oyo Gov, Alao-Akala tells Makinde

  A former Governor of Oyo State, Chief Christopher Adebayo Alao-Akala, has advised the incumbent Governor, Engineer Seyi Makinde, to without wasting more time, postpone...

  FBI hails EFCC for efforts on global crime war

  The Federal Bureau of Investigation (FBI) considers the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) a critical partner in the global fight against organized crime...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: