More
  - Advertisement -

  Spika Ndugai aongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kupokea taarifa ya kamati ya Bajeti juu ya mashauriano na Serikali jijini Dodoma

  -

  - Ad Keep reading below -

  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kupokea taarifa ya kamati ya Bajeti juu ya Mashauriano ya Kamati hiyo na Serikali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.Wa pili kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Daniel Sillo.

  - Ad Keep reading below -

  Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kupokea taarifa ya kamati ya Bajeti juu ya Mashauriano ya Kamati hiyo na Serikali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

  ALSO READ  Waziri Mkuu aagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya kudhibiti Lumbesa

  - Ad Keep reading below -

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mawaziri, Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti  na Watendaji Wakuu wa Serikali (hawapo kwenye picha) wakati wa Kikao cha Kamati ya uongozi kilichokaa na kupokea taarifa ya kamati ya Bajeti juu ya Mashauriano ya Kamati hiyo na Serikali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.Kuanzia kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Daniel Sillo.

  ALSO READ  Rais Magufuli kuzindua Terminal III JNIA

  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wapili kulia), Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (wapili kushoto), Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Sillo wakisikiliza Mashauriano baina ya Kamati ya Bajeti na Serikali wakati Kamati ya uongozi ilipokaa na kupokea taarifa ya kamati hiyo katika kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
   

  ALSO READ  Former Twitter employee seeks to have spying charges dismissed

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Ministry Plans Monthly Cash for Jobless Kenyans in 5 Counties

  The Ministry of Labour has offered hope for Kenyans who were rendered jobless as a result of the government's directive to lock down 5 counties...

  Twitter Unveils Algorithmic Fairness Initiative to Offer More Transparency in Its AI

  Twitter said Wednesday it was launching an initiative on "responsible machine learning" that will include reviews of algorithmic fairness on the social media platform. The...

  MAGAZETI YA LEO 15.4.2021

   
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -