More
  - Advertisement -

  Tatizo Uongozi wa Yanga, sio Cedric Kaze – Shaffih Dauda aanika madudu yote (+Video)

  -

  - Ad Keep reading below -
  Mchambuzi Mahiri wa mchezo wa soka nchini Shaffih Dauda amemkingia kifua kocha Cedric Kaze kwa kudai kuwa hakustahili kuachishwa kazi ndani ya Klabu ya Yanga na badala yake akidai kuwa Uongozi wa timu hiyo ya Wananchi ndiyo wenyeshida, hayo ameyasema leo kupitia Radio ya Clouds FM.

  ”Kwa maana ya kupunguza presha kwao, kwa kuwaondoa benchi la ufundi, ili mashabiki waweze kutulia, lakini haiwasafishi ya wao kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yanayoendelea kutokea.”
  Shaffih Dauda amezungumzua pia ujumbe uliyowahi kupostiwa na Eng. Hersi Said 29 Januari 2021 uliyokuwa ukizungumzia nguzo tatu za mafanikio katika mchezo wa mpira wa miguu kwa ngazi ya klabu ” Proper Management ipi wakati kila kitu wanafanya wao wenyewe, kungekuwa kuna Proper Management wao wangekuwa wana wezesha (facilitate) uongozi wa timu unafanya hizo shukhuli.” Amesema Mchambuzi huyo.
  #Bongo5Updates
  IMEANDIKWA NA  @fumo255 @fumo255
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  U.S. Progress on Inequality Depends on Addressing Systemic Racism, Experts Say | Best Countries

  In the spring of 2020, as the novel coronavirus pandemic swept into the United States from Europe and Asia, a disturbing pattern emerged:...

  Global Economy Set for a Post-Pandemic Boom | Best Countries

  After suffering the worst downturn since World War II, the global economy is poised for a synchronized recovery the likes of which has...

  Canada Has Work to Do to Improve Quality of Life | Best Countries

  For the sixth consecutive year, Canada has ranked first in the U.S. News & World Report's Quality of Life ranking. Topping this list...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -