More
  - Advertisement -

  Tedros kuwania tena ukuu wa WHO

  -

  - Ad Keep reading below -

  Tedros mwenye asili ya Ethiopia mwaka wa 2017 alifanyika kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kuongoza shirika hilo la Umoja wa mataifa lenye makao yake makuu mjini Geneva, Uswizi.

  Kiongozi huyo amekuwa akionekana sana kwenye vyombo vya habari hasa baada ya kuzuka kwa janga la virusi vya corona mjini Wuhan, China mwishoni mwa 2019.

  - Ad Keep reading below -

  Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, msemaji mmoja wa shirika hilo amesema kuwa haliwezi kutaja majina ya watu wanaonuia kuchukua nafasi hiyo.

  Hata hivyo mataifa yote 194 wanachama wa WHO yana hadi Septemba kutuma majina ya watu yanayopendekeza kupitia barua za siri , kwenye bodi ya shirika hilo habla ya uchaguzi kufanyika mwaka ujao.

  - Ad Keep reading below -

  Wanadiplomasia wameambia Reuters kwamba uungaji mkono wa Tedros kutoka kwa mataifa ya kiafrika ni muhimu ingawa kuna tashwishwi iwapo ataungwa mkono na taifa lake la Ethiopia lililomuidhinisha wakati wa nyuma.

  ALSO READ  Jumuia ya dini Lindi yakusanya uniti 767 za damu salama

  Imetayarishwa na Harrison Kamau

  ALSO READ  RC Makonda aelekeza maduka yote Dar kufunguliwa kesho saa tano asubuhi ili kutoa nafasi kwa wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
  - read any article below now-

  Latest news

  SUG reacts to release of abducted ABSU student, lauds Ikpeazu, security agencies

  The Students’ Union Government (SUG), has reacted to the release of the abducted student of Abia State University (ABSU) Uturu, by unknown gunmen, on...

  Zarif calls on all Afghans to unify against ISIL terrorists

  TEHRAN, May 09 (MNA) – Foreign Minister Zarif called on all lovers of Islam and Afghanistan to end any civil conflicts and unify against...

  Dhana ya Uchumi wa Buluu inavyokwenda kuwafaidisha Wazanzibar

  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: