More
  - Advertisement -

  Tetesi za soka Kimataifa leo

  -

  - Ad Keep reading below -

  Mkurugenzi wa michezo wa Paris St-Germain Leonardo haonekani kushawishika kuwa mshambuliaji wa Brazil Neymar,29, atasaini nyongeza ya mkataba na klabu hiyo ya Ufaransa. (Marca)

  Meneja wa West Ham David Moyes amesema timu yake itaingia sokoni kumsaka mshambuliaji katika dirisha lijalo la usajili, lakini hawatamuwania Muingereza Tammy Abraham ,23 kama bei yake itasalia kuwa £45m. (Football London)

  - Ad Keep reading below -

  Manchester City haitakua ”sehemu sahihi ya wachezaji” iwapo hawatapata nafasi ya kucheza kila mmoja, hii ni kwa mujibu wa meneja wa City Pep Guardiola. (Manchester Evening News)

  Mkurugenzi wa ufundi wa AC Milan Paolo Maldini amesema klabu itasitisha mazungumzo na wachezaji kuhusu ongezeko la mkataba baada ya ripoti kuwa mlinda mlango wa Italia Gianluigi Donnarumma ambaye mkataba wake unamalizika msimu huu wa joto, kukabiliwa na mashabiki. (Ansa, via Mail)

  Kiungo wa kati wa zamani wa Manchester United Roy Kean anaamini kuwa klabu hiyo inapaswa kujaribu kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 27 na Jack Grealish anayekipiga Aston Villa ili kuwapa changamoto wanaoongoza ligi ya primia Manchester City next msimu ujao. (Sky Sports)
  - Ad Keep reading below -

  Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema anaona mustakabali mzuri siku za usoni kwa mchezaji wa nafasi ya kiungo wa kati wa Guinea Naby Keita,26, katika klabu hiyo. (Mail)

  Tottenham wanamuwinda winga wa Brazil Rodrigo Varanda na mazungumzo ya awali yameanza ya kumnasa mchezaji huyo mwenye miaka 18 anayekipiga Corothians. (Sun)

  Mlinzi wa Austria David Alaba, 28, atapokea mshahara wa Euro milioni 12 sawa na mlinzi wa kati wa Real Madrid Sergio Ramos baada ya kuelekea Bernabeu kwa uhamisho huru mkataba wake na klabu ya Bayern Munich utakapomalizika. (Fabrizio Romano, via AS)

  Fulham imemfuatilia mshambuliaji wa Peterborough United, Siriki Dembele, 24, ambaye pia anazivutia klabu za Rangers, Celtic na Crysta Palace. (Football Insider)

  ALSO READ  Rwanda Yatangaza Maombolezo Ya Kitaifa Kufatia Kifo cha Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza
  ALSO READ  Je kuvaa wigi kuna madhara gani?

  - Ad Keep reading below -

   

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Looking to escape the madness? This idyllic Donegal home is just the ticket

  New to the market is a secluded lakeside home on the shores of Lough Foyle, with living spaces boasting floor-to-ceiling views onto the lake...

  VP signs Iran-Uganda customs coop. agreement directive

  TEHRAN, May 09 (MNA) – First Vice President Es’hagh Jahangiri approved a directive and bylaw related to the signing of a cooperation agreement between...

  Pep Guardiola vs Thomas Tuchel: Complete head-to-head record

  The upcoming Champions League final will see two familiar faces square off in the dugouts when Pep Guardiola's Manchester City face Thomas Tuchel's Chelsea.The...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: