Advertisement Scroll To Keep Reading
AfricaSwahili News

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 11.09.2021

Advertisement Scroll To Keep Reading

Real Madrid wana uhakika wanaweza kumpata kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba,28, msimu ujao wa majira ya joto. (Muundo Deportivo- in Spanish)

Advertisement Scroll To Keep Reading

Everton wako kwenye mipango ya kujaribu tena mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal Ansley Maitland-Niles mwezi Januari. (ESPN)

Mshambuliaji wa Arsenal Alexandre Lacazette, 30, anaweza kuondoka baada ya klabu kujaribu kumsaka Tamy Abraham, 23 kuwa mbadala wake, kabla ya kuondoka Chelsea kuelekea Roma (Mirror)

Winga wa Barcelona na Uhispania Ansu Fati amepewa ofa na vilabu kadhaa vya juu vya Ulaya, ikiwemo Manchester City .(El Nacional – in Catalan)

Chelsea na Tottenham wanajiandaa kumuwania mlinzi wa Ajax, Mholanzi Jurrien Timber,20. (90 min)

Kocha wa Brighton Graham Potter na kocha wa Brentford Thomas Frank wanatazamwa kuwa mbadala wa kocha wa Arsenal Mikel Arteta. (Team Talk)

Kiungo wa kati wa Arsenal na Norway Martin Odegaard, 22, amesema nia ya klabu ni kushinda ligi ya mabingwa ndani ya misimu miwili ijayo. (Mirrror)

Kocha wa Livepool Jurgen Klopp alijaribu kumsajili mshambuliaji wa Leeds, Muingereza Patrick Bamford,28. (Express)

Mlinzi wa zamani wa Arsenal na Chelsea David Luiz,34, ambaye sasa ni mchezaji huru baada ya kuwaacha washika bunduki amefikia makubaliano ya mdomo kujiunga na Flamengo ya nchini Brazil. (Fabrizio Romano)Barcelona inaweza kumnyakua beki wa kushoto wa Atletico Madrid raia wa Brazil Renan Lodi,23, wakiwa wanamtafuta mbadala wa mlinzi wa Uhispania Joerdi Alba, 32. (Todo Ficgajes-in Spanish)

Advertisement Scroll To Keep Reading

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.