More
  - Advertisement -

  Tishio la watu kukataa kupewa chanjo laikabili dunia

  -

  - Ad Keep reading below -

  Utafiti huo uliondeshwa na taasisi ya Gallup katika nchi 79 kati ya 117, unaonyesha kuwa idadi ya watu ambao wamesema wako tayari kupewa chanjo ni chini ya asilimia 70.

  Idadi hiyo ndiyo asilimia ya wastani ya watu ambao wanahitaji kinga ili kuzuia virusi vya COVID visiendelee kusambaa, kwa mujibu wa wanasayansi.

  - Ad Keep reading below -

  Taasisi ya Gallup iliwahoji watu elfu moja katika kila nchi kati ya hizo 117 mwishoni mwa mwaka 2020.

  Katika nchi 20, karibu watu wote waliohojiwa walisema hawako tayari kupewa chanjo.

  - Ad Keep reading below -

  Nchini Russia, asilimia 61, Kosovo asilimia 56 walisema wataikataa chanjo, na nchini Senegal ni asilimia 55.

  Kulingana na matokeo ya jumla, utafiti huo unakadiria kuwa zaidi ya watu billioni 1 kati ya billlioni 7.6 duniani hawatachanjwa.

  ALSO READ  Harmonize anunua ugomvi wa Alikiba "Upo tayari kwa mfalme wa mafundo"

  ALSO READ  Harmonize anunua ugomvi wa Alikiba "Upo tayari kwa mfalme wa mafundo"
  - read any article below now-

  Latest news

  Jumuiya ya kimataifa yaelezea wasiwasi juu ya ghasia za Jerusalem

   Jumuiya ya kimataifa imeelezea wasiwasi mkubwa juu ya ghasia zinazoendelea mjini Jerusalem, siku moja baada ya makabiliano baina ya polisi wa Israel na Waplestina...

  Red Cross lacking partnership of Taraba Govt – Scribe

  The leadership of the Taraba State branch of the Nigeria Red Cross has lamented what it called the lukewarm attitudes of the state government...

  Filming of Disney sequel Disenchanted to begin in Irish locations on Monday

  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: