More
  - Advertisement -

  Uingereza yakemea uonevu wa Myanmar kuhusu mkwamo wa ubalozi wa London

  -

  - Ad Keep reading below -
   

  Uingereza leo imelaani kile imesema kuwa ni uonevu wa jeshi la Myanmar baada ya balozi wa nchi hiyo mjini London kuondolewa katika mapinduzi ya kushangaza ya kidiplomasia baada ya kutoa wito wa kuwachiliwa huru kwa kiongozi wa kiraia Aung San Suu Kyi. 

  Wanadiplomasia watiifu kwa watawala wa kijeshi Myanmar walichukua udhibiti wa ubalozi jana, na kumfungia nje balozi Kyaw Zwar Minn. Balozi huyo amesema afisa mkuu wa kijeshi amechukua usukani wa ubalozi huo katika aina fulani ya mapinduzi, ikiwa ni miezi miwili baada ya jeshi kukamata madaraka Myanmar. 

  - Ad Keep reading below -

  Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza Dominic Raab ametuma ujumbe wa kumuunga mkono balozi huyo, aliyelala usiku ndani ya gari lake nje ya ubalozi huo. 

  ALSO READ  Youth Demand a ‘Fair Share’ from World Leaders Ahead of G20 Summit

  Duru za Uingereza zimesema maafisa wa Myanmar walikuwa wameifahamisha serikali kuwa balozi huyo alikuwa ameondolewa katika wadhifa wake.

  - Ad Keep reading below -

  ALSO READ  Uingereza na Umoja wa Ulaya zimefanikiwa kupata mkataba wa baada ya Brexit
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Nigerian govt approves FRP technology in oil, gas production

  Management of Dangote Cement Plc has clarified that the price of a bag of cement from its factories and plants across Nigeria (as at...

  Court ends quarantine detention inquiry after woman’s release

  The High Court has formally concluded an inquiry into the detention of a woman who had been undergoing a mandatory quarantining at a hotel...

  Logitech Voice M380 Wireless Mouse With Speech Input, Machine Translation Technologies Launched

  Logitech Voice M380 Wireless Mouse has been launched in China. The mouse makes its debut after Logitech and Baidu Brain announced a long-term partnership...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -