More
  - Advertisement -

  Ukraine yataka kujiunga na NATO

  -

  - Ad Keep reading below -

  Rais Volodymyr Zelenskiy wa Ukrine ameitaka jumuiya ya kujihami ya NATO kuanzisha mchakato kuiwezesha nchi yake ijiunge na muungano huo wa kijeshi. 

  Wito huo unakuja siku chache baada ya Urusi kupeleka idadi kubwa ya wanajeshi karibu na eneo linalokabiliwa na mzozo la Donbass. Zelensky amemwambia katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg kwa njia ya simu kwamba NATO ndio njia pekee ya kuvifikisha mwisho vita vya Donbass. 

  - Ad Keep reading below -

  Kauli ya Zelenski imeibua ghadhabu na ukosoaji kutoka kwa Urusi ikisema mtazamo wa rais Zelensky kuelekea NATO huenda ukachochea hali kuwa mbaya huko Donbass, ambako machafuko yameongezeka katika siku za hivi karibuni. 

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nchi za nje wa Marekani Ned Price amesisitiza sera ya Marekani kuunga mkono sera ya kuwakaribisha wanachama wapya wanaotimiza vigezo kujiunga na NATO.

  - Ad Keep reading below -

   Hata hivyo amesema Ukraine sharti itekeleze mageuzi yanayohitajika kujenga taifa imara lenye demokrasia, maendeleo na uhuru.

  ALSO READ  Egypt to reduce civil servants to stop spread of coronavirus

  ALSO READ  Upinzani wataka uchaguzi mkuu kurudiwa
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Zionist regime behind Natanz incident: Vaezi

  TEHRAN, Apr. 14 (MNA) – Iranian President's Chief of Staff blamed the Tel Aviv regime for having a hand in the recent Natanz incident....

  JUSUN strike: Many languishing in prison, police custody – Lawal

  Soldiers, late Tuesday, battled Boko Haram insurgents as they attempted to take over their base in Damask. A resident of Damasak town, in Mobbar local...

  Historian Catherine Corless ‘dismayed’ by inaction over exhumation of babies remains

  Historian and campaigner Catherine Corless said she was “naive” to believe that action would be taken immediately to exhume remains when she discovered the...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -