AfricaSwahili News

Upepo mkali na mafuriko yasababisha mahafa katika jimbo la Victoria

Upepo mkali na mafuriko katika jimbo la Victoria vimesababisha zaidi ya kaya 200,000 kubaki bila umeme nchini Australia.

Upepo na mvua vilikithiri huko Victoria majira ya usiku, na kufikia takriban kilomita 119 kwa saa.

Miti ilianguka huku barabara nyingi zikiwa zimefungwa.

Hakuna aliyepoteza maisha katika mafuriko hayo.

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Back to top button