More
  - Advertisement -

  Uturuki yaulaumu Umoja wa Ulaya kwa kashfa ya “Sofagate”

  -

  - Ad Keep reading below -

   Uturuki leo imeulaumu Umoja wa Ulaya kuhusiana na suala la mipangilio ya viti ambayo ilimuwacha Mkuu wa Halmashauri Kuu ya Ulaya Ursula von der Leyen bila kiti cha kukalia wakati wa mkutano na Rais Recep Tayyip Erdogan. 

  Kiongozi huyo wa Uturuki alikabiliwa na shutuma kali baada ya picha kusambaa kufuatia mkutano wake wa Jumanne na von der Leyen na rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel mjini Ankara. 

  - Ad Keep reading below -

  Chumba ambacho viongozi hao watatu walikutana kilikuwa na viti viwili pekee vilivyopangwa karibu na bendera za Umoja wa Ulaya na Uturuki. 

  Erdogan na Michel wakavikalia haraka wakati von der Leyen – ambaye hadhi yake ya kidiplomasia ni sawa na ya viongozi hao wawili — akiachwa akiwa amesimama. 

  - Ad Keep reading below -

  Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema mipangilio ya namna wangekaa viongozi hao ilifanywa kwa kuzingatia ushauri wa Umoja wa Ulaya. 

  ALSO READ  Arlene Foster voices sadness at man’s jetski death in Fermanagh

  Amesema masharti na mapendekezo ya upande wa Umoja wa Ulaya yalitimizwa na itifaki sahihi ikazingatiwa.

  ALSO READ  Siku ya Afrika Kuadhimishwa kwenye kilele cha mlima Killimanjaro

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  2 Job Opportunities at Tanga-Uwasa – TECHNICIAN II –WATER NETWORK

  POST TECHNICIAN II – WATER NETWORK – 2 POST POST CATEGORY(S) WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES EMPLOYER Tanga Urban Water Supply and Sanitation Authority(Tanga-Uwasa) APPLICATION TIMELINE: 2021-04-12...

  UK to Respond to EU Legal Action Over N.Ireland by Mid-May | World News

  LONDON (Reuters) -Britain has agreed with the European Union that it will respond to the bloc's legal action over how it has introduced new...

  Natanz nuclear facilities to move forward with utmost speed

  TEHRAN, Apr. 14 (MNA) – Stating that the recent terror act in Natanz facility demonstrates the frustration of the enemies, the Atomic Energy Organization...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -