By Jesse Mikofu

Unguja. Leo ikiwa ni kilele cha sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu Zanzibar, wananchi na viongozi mbalimbali wameshaingia katika uwanja wa Amaan yanapofanyika maadhimisho hayo.

Baadhi ya viongozi ambao wamewasili ni pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mawaziri wakuu wastaafu Mizengo Pinda na Fredrick Sumaye, Makamu wa Rais mstaafu Dk Gharib Bilali, Makamu wa kwanza wa Rais Othman Masoud na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama huku viongozi wengine wkiendelea kuwasili.

Kwa mujibu wa ratiba, viongozi ambaaaaao wnasubiriwa ni pamoja na Rais wa Tanzania Samaia Suluhu Hassan pmaoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi ambaye ndiye mgeni rasmi katika sherehe hizo.

This article Belongs to

News Source link

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles