Swahili News

Wabunge waliotimuliwa uanachama Chadema watinga bungeni

By Sharon Sauwa

Dodoma. Wabunge wa viti maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema juzi leo Ijuma Mei 13 wameudhuria vikao vya Bunge isipokuwa Halima Mdee na Ester Bulaya.

Aliyenza kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge ni Ester Matiko saa 2:50 asabuhi akifutiwa na Salome Makamba na wengine waliingia baadaya kikao cha Bunge kuanza.

Leo kila mmoja na wakati wake, tofauti na mara ya kwanza walipofika kwa ajili ya kuapishwa ambapo waliingia wote 19 katika viwanja vya Bunge.

Hadi kufiki saa tatu Bunge linaanza wabunge watatu na wengine waliingia baada ya kikao cha leo kuanza.

JOIN US ON TELEGRAM

Wabunge wengine waliingia baada ya kikao kuanza huku wabunge wengine wakiwa wametulia kama kawaida.

Kina Mdee watinga bungeni

This article Belongs to
News Source link

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Back to top button
Muhabarishaji News We would like to show you notifications for the latest news and updates.
Dismiss
Allow Notifications

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker