More
  - Advertisement -

  Wagonjwa 2 wafariki hospitalini baada ya umeme kukatika

  -

  - Ad Keep reading below -

  Wagonjwa  2 wa corona (Covid-19) waliokuwa wameunganishwa na kifaa cha oksijeni walifariki kama matokeo ya kukatika kwa umeme katika Hospitali ya Kitivo cha Matibabu cha Maastricht nchini Uholanzi.

  Katika taarifa za vyombo vya habari vya ndani ya nchi, iliarifiwa kwamba Wakaguzi wa Wizara ya Afya walianzisha uchunguzi juu ya vifo vilivyothibitishwa na msemaji wa hospitali hiyo.

  - Ad Keep reading below -

  Mpwa wa mmoja wa wagonjwa waliopoteza maisha alitoa taarifa na kusema,

  “Tulimlaza mjomba wangu Jumatatu na hali yake ilikuwa inazidi kuimarika. Ghafla habari za kifo zilitufika. Alifariki kutokana na kukatika kwa umeme.”

  - Ad Keep reading below -

  Haijulikani ni kwanini usambazaji wa umeme wa dharura, ambao unapaswa kuamilishwa haufanyi kazi.

  Kutokana na hitilafu hiyo, hali ya wagonjwa wawili wa kiume wa Covid-19 wenye umri wa miaka 76 na 67, waliounganishwa na kifaa cha oksijeni,ilizidi kuwa mbaya na wote wawili walifariki ndani ya muda mfupi.

  ALSO READ  Mwamuzi aliyechezesha mchezo wa Mbeya City na Yanga mikononi mwa Kamati ya Waamuzi

  ALSO READ  Iran yapinga kuondolewa vikwazo hatua kwa hatua
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Pep Guardiola vs Thomas Tuchel: Complete head-to-head record

  The upcoming Champions League final will see two familiar faces square off in the dugouts when Pep Guardiola's Manchester City face Thomas Tuchel's Chelsea.The...

  SUG reacts to release of abducted ABSU student, lauds Ikpeazu, security agencies

  The Students’ Union Government (SUG), has reacted to the release of the abducted student of Abia State University (ABSU) Uturu, by unknown gunmen, on...

  Businessman Strips 'Mabati' Out of Hospital Over Unpaid Tender

  A disgruntled businessman resorted to removing iron sheets he'd supplied for the construction of a hospital in Uasin Gishu county over nonpayment by the...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: