Advertisement Scroll To Keep Reading
AfricaSwahili News

Wajerumani 45 wafanikiwa kuondoka Afghanistan

Advertisement Scroll To Keep Reading

Wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani, imesema ndege ya pili ya abiria kutoka shirika la ndege la Qatar imefanikiwa kuwasafirisha wajerumani 45 pamoja na familia zao kutoka uwanja wa ndege wa Kabul. Msemaji wa wizara hiyo amesema maafisa wa Ujerumani wako mbioni kuwaondoa wajerumani zaidi nchini Afghanistan. 

 
Siku ya Alhamisi wajerumani 15 walisafirishwa kutoka huko na kupelekwa mjini Qatar. Tangu kumalizika zoezi la kuwaokoa watu mjini Kabul waliotaka kuutoroka utawala wa kundi la Taliban, Mataifa ya Magharibi yamekuwa yakijaribu kuwaondoa raia wake nchini humo. Njia za ardhini na hewani ndizo zinazotumiwa kuwaondoa wale wanaotaka kuihama nchi hiyo.

 

Advertisement Scroll To Keep Reading

Advertisement Scroll To Keep Reading

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.