More
  - Advertisement -

  Wanajeshi 32 wa Uturuki wafungwa maisha kwa jaribio la mapinduzi

  -

  - Ad Keep reading below -
   

  Mahakama ya Uturuki imewahukumu wanajeshi 32 wa zamani kifungo cha maisha jela kwa kuhusika katika jaribio la mapinduzi lililoshindwa la mnamo mwaka 2016 lililonuiwa kumuondoa madarakani rais Recep Tayip Erdogan. Hayo ni kwa mujibu wa wakili wa mmoja wa wanajeshi hao. 

  Katika kesi ya hivi karibuni mahakama ya mjini Ankara ilichunguza jukumu la wanajeshi wa zamani 497, wakiwemo wa kikosi cha ulinzi wa rais.

  - Ad Keep reading below -

   Hukumu hiyo imesomwa katika chumba kikubwa kabisa cha mahakama iliyojengwa mahususi kusikiliza kesi za jaribio hilo la mapinduzi katika gereza la Sincan mkoani Ankara. 

  Kesi dhidi ya kikosi hicho ilianza kusikilizwa mnamo mwezi Oktoba mwaka 2017. Jaribio la mapinduzi lilisababisha vifo vya watu 248, mbali na waliohusika na ajribio la mapinduzi waliouliwa usiku wa tukio.

  - Ad Keep reading below -

   Uturuki inamtuhumu shehe wa kiislamu ananyeishi uhamishoni Fethullah Gulen kwa kupanga jaribio hilo la mapinduzi, madai ambayo anayakanusha.

  ALSO READ  Koffie Olomide kufanya ngoma na Nandy

  ALSO READ  ‘Fools are wise in hindsight’ – Ramaphosa unimpressed by SONA Debate insults
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Osinbajo presides as FEC honours late Mahmud Tukur

  The Vice President, Yemi Osinbajo, on Wednesday presided over the weekly Federal Executive Council (FEC) meeting at the Presidential Villa in Abuja. Recall that President...

  Leaving Cert student not appealing calculated grades ruling

  A student’s decision not to appeal the High Court’s rejection of his lead challenge to the calculated grades model for the Leaving Cert 2020...

  OnePlus Nord N10 5G Getting March 2021 Security Patch With System, Network Improvements in Latest Update

  OnePlus Nord N10 5G is receiving a new OxygenOS update that brings some network and system improvements. The update will be bundled with March...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -