More
  - Advertisement -

  Watu 50 wafariki, 132 wajeruhiwa kwenye mizozo ya kikabila iliyozuka nchini Sudan

  -

  - Ad Keep reading below -

  Watu 50 wameripotiwa kupoteza maisha katika mizozo ya kikabila iliyozuka nchini Sudan.

  Umoja wa Mataifa ulitangaza kuwa watu 50 walifariki na wengine 132 walijeruhiwa katika mapigano yaliyoanza Aprili 3 huko Jinayna, jimbo la Darfur Magharibi mwa Sudan.

  - Ad Keep reading below -

  Barabara za upande wa kusini mwa Jinayna zilifungwa, na shughuli za misaada ya kibinadamu zikasimamishwa kwa muda.

  Kamati ya Madaktari wa Darfur Magharibi ilitangaza kuwa gari la wagonjwa lililobeba majeruhi lilishambuliwa na wafanyikazi 3 wa huduma za afya walijeruhiwa.

  - Ad Keep reading below -

  Ofisi ya Gavana wa Darfur Magharibi pia ilitoa wito kwa umma kuwa waangalifu na kukaa majumbani mwao hadi vikosi vya usalama vitakapodhibiti hali hiyo.

  Mara kwa mara, mizozo huibuka kati ya makabila tofauti katika mkoa huo na umiliki wa silaha za kibinafsi umeenea kote nchini kwa sababu ya mvutano wa ardhi, malisho na vyanzo vya maji.

  ALSO READ  Maina: Senator Ndume may lose N500m bail bond, Asokoro mansion to Nigerian govt

   

  ALSO READ  Saudi Arabia extends entry ban amid coronavirus variant fears
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  VIDEO | Christina Shusho – Shusha Nyavu

  https://www.youtube.com/watch?v=eOGKpXVSkDU ...

  M&S take legal action against Aldi over Colin the Caterpillar trademark

  Marks and Spencer has launched legal action against Aldi over a claim that the discount supermarket is infringing the trademark of its Colin...

  ZTE Axon 30 Ultra 5G, ZTE Axon 30 Pro 5G With Qualcomm Snapdragon 888 Launched: Price, Specifications

  ZTE Axon 30 Ultra 5G and ZTE Axon 30 Pro 5G smartphones have been launched in China. Both of them are powered by...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -