AfricaSwahili News

Waziri apendekeza kupunguza ushuru wa bidhaa kwenye bia

 “Napendekeza kupunguza ushuru wa bidhaa kwenye bia zinazotengenezwa kwa kutumia shayiri iliyozalishwa hapa nchini kutoka Sh765 kwa lita za sasa hadi Sh620 kwa lita, lengo la mapendekezo haya ni kuchochea kilimo cha shayiri hapa nchini,” – Mwigilu Nchemba,Waziri wa Fedha na Mipango

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button