in

Waziri Bashungwa, Babra wajadili mgogoro wa Simba na FCC

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amekutana na Mtendaji Mkuu wa timu ya Simba Sports Club Babra Gonzalez kujadili mgogoro kati ya timu hiyo na Tume ya ushindani (Fair Competition Comission, FCC) ambapo Mkurugenzi huyo amekubali kushirikiana na Tume hiyo.

Mazungumzo hayo yamefanyika Aprili 15, 2021 jijini Dar es Salaam, ambapo Mtendaji huyo wa Simba Sc ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali katika kuendeleza soka nchini.

Who will make the Champions League final?

Mwafrika mwingine apigwa risasi na kuuawa Marekani