AfricaSwahili News

Waziri Mkuu Majaliwa azungumza na Wadau wa Bandari

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa  Bandari kwenye kikao kazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa  Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam, Julai 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),  Eric Hamissi akizungumza katika  kikao kazi cha wadau wa Bandari kilichoitishwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,  katika  ukumbi wa Ofisi Ndogo  ya Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam, Julai 20,  2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC),  Masanja Kadogosa wakati alipozungumza  katika  kikao kazi cha wadau wa Bandari kilichofanyika  kwenye   ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam, Julai 20, 2021.Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Eric Hamissi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.