More
  - Advertisement -

  Waziri Mkuu Ouhoumoudou Mahamadou aunda baraza la mawaziri nchini Niger

  -

  - Ad Keep reading below -

  Ouhoumoudou Mahamadou ambaye aliteuliwa kama waziri mkuu nchini Niger, ameunda serikali mpya.

  Serikali iliyoundwa na Mahamadou, ambaye aliteuliwa kama waziri mkuu na Rais Mohammed Bazoum mnamo Aprili 3, inajumuisha mawaziri 33.

  - Ad Keep reading below -

  Wakati majina kadhaa kwenye baraza la mawaziri la zamani yakihifadhi nyadhifa zao za awali, majina 22 mapya yalijiunga na serikali mpya.

  Ilibainika kuwa katika serikali mpya, Mahamane Sani Mahamadou, ambaye ni mtoto wa Rais wa zamani Mahamadou Issoufou, aliteuliwa kama Waziri wa Mafuta na Nishati.

  - Ad Keep reading below -

  Bazoum, ambaye alishinda duru ya pili ya uchaguzi wa urais nchini Niger mnamo Februari 21, aliapishwa kwenye hafla iliyoandaliwa katika mji mkuu wa Niamey Aprili 2 na kuanza kuhudumu rasmi.

  ALSO READ  Rasht blue sky
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  AUDIO | Raph Tz Ft. Rich Kiss – Sema | Download

  Download | Raph Tz ft. Rich Kiss –...

  Lukwago’s life out of danger

  Doreen Nyanjura ...

  KDF Soldier Killed in Night Attack on Military Camp

  A Kenya Defence Forces (KDF) officer was on Thursday, April 15, killed by bandits after they raided a military camp in Mukutani at around...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  ALSO READ  TANCOAL watekeleza agizo la Waziri Biteko, wakabidhi tani 30 za makaa ya mawe