AfricaSwahili News

Waziri Mwigulu Nchemba akizungumzia deni la Serikali

 

“Hadi Aprili 2021, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 60.9, ikilinganishwa na shilingi trilioni 55.5 kipindi kama hicho mwaka 2020, kati ya ya kiasi hicho, deni la nje ni shilingi trilioni 43.7 na deni la ndani ni shilingi trilioni 17.3, ongezeko hilo lilitokana na kupokelewa kwa fedha za mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo”———Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba

“Taarifa ya tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Desemba 2020 inaonesha kuwa deni la Serikali ni himilivu katika kipindi cha muda mfupi, wa kati na mrefu kwa kuzingatia ukomo wa viashiria vyote vinavyokubalika kimataifa”———Waziri Mwigulu akisoma taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2020 na Mpango wa Maendelo wa Taifa wa mwaka 2021/22.

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button