More
  - Advertisement -

  Zaidi ya polisi 50 wa Ujerumani wamejeruhiwa katika maandamano ya Mei Mosi

  -

  - Ad Keep reading below -
   

  Takriban ya maafisa wa polisi 93 wamejeruhiwa na waandamanaji 354 wamekamatwa, baada ya maandamano ya jadi ya Mei Mosi mjini Berlin kugeuka ya vurugu. 

  Zaidi ya makundi 20 ya watu yalishiriki maandamano hapo Jana Jumamosi ambapo idadi kubwa wa waandamanaji hao walishiriki kwa amani. 

  - Ad Keep reading below -

  Lakini maandamano ya mrengo wa kushoto yalioshirikisha kiasi ya watu 8,000 katika mji wa Neukoellin na vitongoji vya Kreuzberg, yaligeuka kuwa ya vurugu. 

  Waandamanaji waliwarushia polisi chupa, mawe na kuchoma moto mapipa ya taka na mabenchi ya mbao mitaani. 

  - Ad Keep reading below -

  Kuna marufuku ya kutoka nje kwa nyakati za usiku katika maeneo mengi ya Ujerumani lakini maandamano ya kisiasa na mikusanyiko ya kidini havimo kwenye marufuku hiyo.

  ALSO READ  Breaking: Mvua zasababisha barabara kufungwa Dar

  ALSO READ  VIDEO: Mzee wa Upako aibuka na waraka wa Kinana,Makamba ''mwacheni rais afanye kazi''
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Haniyeh discusses current events in occupied lands

  TEHRAN, May 09 (MNA) – In a letter to Ayatollah Khamenei, Head of Hamas' Political Bureau Ismail Haniyeh discussed the ongoing developments in the...

  Umeme shares plummet after Museveni remarks

  President Yoweri Museveni's May...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: