Kiongozi wa Chama cha ACT na Shabiki lialia wa Klabu ya Yanga, Zitto Zuberi Kabwe ameitaka Klabu ya Yanga kushushwa kwa madai inaidhalilisha nchi.


Zitto ameweka kauli yake hiyo kwenye mtandao wake Twitter baada Shirikisho la Mpira wa Mguu TFFF kutoa taarifa ya kuwa Tanzania imepigwa onyo kutokana na kuripotiwa kwa matukio mbali mbali haswa kunapokuwa michezo ya kimataifa pamoja na Vipimo vya Covid 19.

Zitto ametaka Yanga Ishushwe Daraja na ispande tena kama timu ya Pani, huku akihoji kwa nini nchi ipigwe onyo kwa sababu ya Yanga

 

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles